KAZI ZA TIMU YA MRADI
Meneja wa Mradi : Dirk Smelty
Ni msimamizi katika utekelezaji wa masuala yote ya ndani ya Mradi na mkataba wa makubaliano. Ofisi yake ipo katika jengo la Makao makuu ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali.
Mratibu wa Mradi Sekta Binafsi : Adam Chingwile.
Ni msimamizi wa shughuli zote zinazohusiana na sekta binafsi na kitovu kikuu cha Ushirikiano na sekta binafsi. Ofisi yake ipo ofisi za ZNCC Jengo La Livingstone, Kinazini