50620480 2402469033157423 8711750447313977344 o

Haya ni mafunzo ya nadharia kwa takriban walimu 60 kutoka vyuo vya mafunzo ya amali vya serikali na binafsi. Zaidi ya hayo takriban walimu 65 wa mafunzo ya amali walipata mafunzo ya vitendo katika fani 6 tofauti.