50620480 2402469033157423 8711750447313977344 o

Mradi ulianzisha ushirikiano wa karibu kati ya sekta ya kibinafsi na vituo vya mafunzo ya amali ili kushughulikia mahitaji ya sekta binafsi na kuingiza sekta binafsi katika mfumo wa mafunzo ya amali. Ujumuishaji ni pamoja na shughuli kama vile kupeleka walimu kwa mafunzo ya vitendo katika kampuni, ziara za mara kwa mara za walimu kwa kampuni na mikutano inayohusisha sekta zote za umma na binafsi.